Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2022
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Mheshimiwa Dorothy Gwajima, amewataka wazazi na walezi kuzungumza mara kwa mara na watoto wao ili kubaini iwapo wanafanyiwa vitendo vya udhalilishaji.
Waziri Gwaji...
Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe, ameziagiza shule zote za binafsi wilayani Kinondoni kuwa na wasindikizaji wa kike ndani ya magari ya kubeba wanafunzi.
Agizo hilo amelitoa...
Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2022
Manispaa ya Kinondoni, imetoa misaada yenye thamani ya Shilingi Milioni Tatu kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI.
Misaada hiyo imetolewa leo kwa wanufaika 50 wakati wa maadhimisho ya siku y...