Tarehe iliyowekwa: August 22nd, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Agosti 22, 2024 imefanya oparesheni maalumu ya kukagua leseni za uvuvi na kukamata zana haramu za uvuvi katika fukwe z...
Tarehe iliyowekwa: September 20th, 2024
Baraza la Madiwani Manispaa ya Kinondoni limemteua Mheshimiwa Michael Urio Agost 20, 2024 kuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni kwa mwaka 2024/2025....
Tarehe iliyowekwa: August 17th, 2024
Wazazi kutoka Kata ya Ndugumbi wamefanya kikao kilicholenga kujadili masuala ya lishe na mmomonyoko wa maadili kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndugumbi na Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere.
...