• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

Magomeni

HISTORIA FUPI:

Kata ya Magomeni ilianzishwa mwaka 1995 ikiwa na mitaa mitano. Mnamo mwaka 2000 Kata hii iligawanywa na kupatikana Kata ya Ndugumbi.

Asili ya jina Magomeni ni miti iliyokuwa inapatikana maeneo hayo, miti hiyo ilikuwa inatoa magome mengi na makubwa hivyo kupelekea eneo hili kuitwa MAGOMENI.



IDADI YA MITAA

Mitaa inayopatikana katika Kata ya Magomeni;

  • Idrisa
  •  Suna
  •  Dosi
  • Makuti A
  • Makuti B.

IDADI YA WATU-15241

  • KE-7612
  • ME-7629

HALI YA ELIMU

 Jumla ya shule ni 3. Awali/Msingi 2 na Sekondari 1

  • SHULE ZA MSINGI (SERIKALI)
  •  
  • Shule ya msingi Ally Hassan Mwinyi (Serikali)
  • Shule ya msingi Hazina (Binafsi)
    • SHULE ZA SEKONDARI (SERIKALI)
    •  
    •  Magomeni Makuti
  • IDADI YA SHULE NA IDADI YA WANAFUNZI

    • Shule za msingi (Serikali)
    • Ali Hassan Mwinyi –KE 718 /ME 642 JUMLA 1360
    • Hazina-KE 88/ ME 104 JUMLA 192
    • SHULE YA SEKONDARI
    • Magomeni Makuti- KE 710 /ME 681 JUMLA 1391
  • HALI YA AFYA KATIKA KATA

    Kata ya Magomeni ina Zahanati 2 moja ya Serikali na nyingine ni ya Sekta Binafsi, hakuna kituo chochote cha Afya na Hospitali iliyopo ni moja ya Salimna ambayo ni ya Sekta Binafsi.

    • Zahanati ya Magomeni (Serikali)
    • Zahanati ya Mchichani (Binafsi)
    • Hospital ya Salimna (Binafsi)
  • HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA

    Kata ya Magomeni imepitiwa na Barabara kuu Mbili (2) kwamaana ya Barabara ya Kawawa na Barabara ya Morogoro. Mbali na uwepo wa Barabara hizo kuu, Kata ya Magomeni ina jumla ya Barabara 58 za Mitaa katika Mitaa yote Mitano, Kati ya hizo 58 za kiwango cha Lami ni 13. Mchanganuo wa Barabara za Mitaa upo kama ifuatavyo;

    • Mtaa wa Makuti A una Barabara 12 za Lami ni 3
    • Mtaa wa Makuti B una Barabara 10 za lami ni 4
    • Mtaa wa Idrisa una Barabara 16 za lami ni 4
    • Mtaa wa Dosi una Barabara 15 za lami ni 1
    • Mtaa wa Suna una Barabara 05 za lami 1

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.