Tarehe iliyowekwa: September 17th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepokea Madawati 138 kutoka Rotary Club Dar es Salaam.
Hafla hiyo iliyofanyika katika Shule ya Msingi Kunduchi Septemba 17, 2024 ilihudhuriwa na Mkuu wa Wi...
Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2024
“Natoa wito kwa Wananchi na Vijana kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali. Aidha, Watu wenye Ulemavu wajitokeze kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili kupata haki ya msingi ya kuchagua ...
Tarehe iliyowekwa: September 14th, 2024
Kamati ya kudumu ya Bunge ya maji na Mazingira, imefanya ziara yake Septemba 14, 2024 Manispaa ya Kinondoni katika Kata ya Kawe maeneo ya Mbezi beach chini kukagua mradi wa kuchakata maji taka na kupo...