• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

Mwananyamala

HISTORIA FUPI:

Kata hii ilizaliwa kutokana na mgawanyiko wa Kata ya Makumbusho. Kata ya Mwananyamala imeanzishwa miaka ya 1990, neno Mwananyamala lilmetokana na lugha ya Kizaramo ikiwa na maana mtoto nyamaza sababu ya jina hili ni tahadhari iliyokuwa ikitolewa kwa watoto kutokupiga kelele wala kulia wakati wakipita kwenye msitu wa Kijitonyama ambao ulikuwa na wanyama wakali na wapole.

Kabla ya mgawanyiko wa eneo la sasa la Kata ya Mwananyamala ilikuwa ni mashamba ya mpunga. Wenyeji wengi walikuwa ni wakulima na wafugaji. Kuna mchanganyiko wa makabila mbalimbali ambayo ni Wazaramo, Wapogoro, Wamakonde na Wayao.

ASILI YA JINA LA MWANANYAMALA; zamani Mwananyamala ilikuwa ni eneo moja na Kata za Makumbusho na Kijitonyama. Kulikuwa na msitu mkubwa na bwawa ambalo mpaka sasa lipo katika Kata ya Kijitonyama. Katika eneo la bwawa hilo na msitu huo kulikuwa na wanyama wakali walionekana na wasioonekana na kulikuwa na njia ambayo wananchi walikuwa wakipita kwenda kwenye shughuli zao mbalimbali ikiwemo kilimo katika maeneo ya Mwenge na kwingineko, hivyo wakati wakipita maeneo hayo walikuwa na tahadhari kubwa ya kutopiga kelele na hasa watoto walitahadhirishwa kutolia.

Mtoto nyamaza (Mwan- nyama) Mwana ni mtoto na Nyamala ni Nyamaza. Miaka ya 1990, Kata ya Mwananyamala ilikatwa na kuzaa Kata ya Makumbusho na Kiitonyama.

IDADI YA MITAA:

Kata ya Mwananyamala ina jumla ya mitaa saba ya Kiserikali ambayo ni: -

  1. Bwawani
  2. Kambangwa
  3. Kwakopa
  4. Msisiri A   
  5. Msisiri B
  6. Msolomi
  7. Mwinyijuma

MIPAKA YA KATA.

Kata ya Mwananyamala kwa upande wa kaskazini imepakana na barabara ya Morocco mwenge ulipo Mtaa wa Bwawani, Kusini imepakana na Mto Ng”ombe ulipo mtaa wa mwinjuma, Magharibi imepakana na Mtaa Mwanayamala ulipo Mtaa wa Kopa na  Mashariki imapakana na barabara ya kawawa ilipo mitaa ya Msolomi na Msisiri A.

IDADI YA WAKAZI WA KATA YA MWANANYAMALA. 

NA

JINA LA MTAA

 

IDADI YA WATU

WANAUME

WANAWAKE

1.
MWINJUMA

6,158

2,899

3,259

2.
KAMBANGWA

3,543

1,685

1,858

3.
MSISIRI B

7,800

3,754

4,046

4.
KWA KOPA

6,698

3,347

3,351

5.
BWAWANI

4,061

1,916

2,145

6.
MSISIRI A

7,969

3,964

4005

7.
MSOLOMI

2,416

1,183

1,233

 
                      JUMLA

 

38,645

 

18,748

 

19,897

 

 

IDADI YA WATU KWA KATA NZIMA = 38,645

 

IDADI YA MITAA

Kata ya Mwanayamala Ina jumla ya mitaa Saba (7) ambayo ni

  • MWINJUMA
  • KAMBANGWA
  • MSISIRI B
  • KWA KOPA
  • BWAWANI
  • MSISIRI A
  • MSOLOMI

UKUBWA WA KATA (KM ZA MRABA)

Kata ya wananyamala ina jumla ya kilometa za mraba 2,487,11sqm sawa na 248.71Ha

  • HALI YA ELIMU KATIKA KATA

Kuna shule ngapi za Awali za Msingi na binafsi.

SHULE ZA AWALI ZA BINAFSI.

NA.

JINA LA MTAA

JINA LA SHULE

IDADI WA WANAFUNZI

 

IDADI YA WALIMU

ME

KE

ME
KE

1.

MSOLOMI

BRILIANT DCC

07

08



2.

MSOLOMI

EBENEZER DCC

10

08


03

3.

KAMBANGWA

EXCEL DCC

07

17


02

4.

BWAWANI

EXCEL DCC

07

17

01

03

5.

BWAWANI

ST. MARY IMACULLATA DCC

10

08


04

6.

KWA KOPA

AITAFYOS EV LEMA DCC

11

14


03

7.

MSISIRI B

HAPPY  DCC

4

6


02

8.

MSOLOMI

MWAMBA DCC

10

8


02

9.

MSISIRI A

NGEZE

10

18


03

10.

MSISIRI A

MERMAR

06

10


02

11.

MSISIRI B

FLORA DCC

17

20


05

12.

BWAWANI

MKWAWA

4

3


01

13.

MSISIRI A

DAISAY DISNEY

21

19


04

14.

MSOLOMI

EBENEZER DCC

10

12


03

15.

BWAWANI

ST. MARY EMMACULATA

12

10


03

16.

MSISIRI B

AITA DCC

13

17


04

17.

MSISIRI B

LUPEKE DCC

17

18


04

18.

MSISIRI A

FLORA DCC

17

20


04

19.

MSISIRI A

KIDZ HOME DCC

10

15


03

20.

MSISIRI A

DAISY DISNEY DCC

38

23


06

21.

KAMBANGWA

TUNUNU DCC

22

28


04

22.

MWINJUMA

NEEMA DCC

12

10


03

23.

BWAWANI

RASHIDYA DCC

20

15


03

24.

KWAKOPA

BUNDA DCC

21

22

01
02

25.

MSISIRI B

FAITH DCC

29

22


06

26.

BWAWANI

BWAWANI DCC

18

30


05

27.

KAMBANGWA

ST JOHN DCC

17

12


04

28

MWINJUMA

MIRACLE DCC

30

10


04

29.

KWA KOPA

AMANI DCC

30

50

01
03

30.

MWINJUMA

GLOBAL DCC

21

20


02

31.

KAMBANGWA

LEAD FOR TOMMOROW DCC

32

24


02

32.

KAMBANGWA

RK DCC

12

10


02

33.

MSISIRI B

SHINERS DCC

3

4


01

34.

KWA KOPA

MECEPP DAY CARE

10

5

-
02

35.

KWA KOPA

AID DAY CARE

10

14


03

36.

KWA KOPA

BABY FLOWER

13

15


01

37.

KWA KOPA

UPENDO DAY CARE

12

13

01
01
  •  
  • HALI YA AFYA KWENYE KATA YA MWANANYAMALA

IDADI YA HOSPITALI ZILIZOPO KWENYE KATA.

  • HOSPITALI ZA SERIKALI.
NA
JINA LA MTAA
JINA LA HOSPITAL 
IDADI YA WAFANYAKAZI
ME 
KE
1
MSISIRI B
HOSPITAL YA RUFAA  YA MWANANYAMALA
11
5
6
  • HOSPITALI ZA BINAFSI
NA
JINA LA MTAA
JINA LA HOSPITAL 
IDADI YA WAFANYAKAZI
ME 
KE
1
MSOLOMI
HOSPITAL YA KINONDONI
68
22
46

KITUO CHA AFYA CHA BINAFSI.

NA
JINA LA MTAA
JINA LA HOSPITAL 
IDADI YA WAFANYAKAZI
ME 
KE
1
MWINJUMA
KITUO CHA AFYA KOMA KOMA
17
9
8

IDADI YA ZAHANATI ZILIZOPO KWENYE KATA

  • ZAHANATI ZA SERIKALI.
NA
JINA LA MTAA
JINA LA HOSPITAL 
IDADI YA WAFANYAKAZI
ME 
KE
1
KAMBANGWA
ZAHANATI YA KAMBANGWA
33
12
21

ZAHANATI BINAFSI

NA
JINA LA MTAA
JINA LA HOSPITAL
IDADI YA WAFANYAKAZI
ME
KE
1
MSISIRI B
ZAHANATI YA MSISIRI B
21
9
12
2
MSISIRI A
ZAHANATI YA KDB



3
KWA KOPA
ZAHANATI YA MMR



4
MSOLOMI
ZAHANATI YA MBAGGA



SPECIALISED CLINIC

NA
JINA LA MTAA
JINA LA HOSPITAL 
IDADI YA WAFANYAKAZI
ME 
KE
1
KWA KOPA
NENA CLINIC



2
KWA KOPA
TANZANITE BRAIN AND SPINE  CENTER



3
KWA KOPA
CLOUD 9 CLINIC



  • HALI YA MIUNDOMBINU KATIKA KATA

Kata ya Mwananyamala imebahatika kuwa na barabara zenye mchanganyiko wa lami, zege pamoja na barabara za vumbi.

IDADI YA BARABARA ZA MITAA

Orodha ya barabara zilizopo katika kata ya Mwanyamala

JINA LA MTAA
MAJINA YA BARABARA
 
BWAWANI
UPOROTO

UPOROTO KIPANDE

SERIKALI YA MTAA

MABULA

BONDENI FRESH

LUGULU

SONGORO MNYONGE

BWAWANI SOKONI

ALHAJI MUNGULA

CCM

MKANDU

KALEMBO

SHIMUNDU

SHAHA



MWINJUMA
LUWICHI
LAMI
LUKWIKA

LALANGULU

LUPILO

MAJEMBE
LAMI
MASAUNI
LAMI
MTAGULWA

KHAMISI KITWANA

MAFELE
LAMI
ANANDUMI

MWANGA

MALONGWE
LAMI
KRISTO MFALME

MADUKANI

MTANDIA

BATA MANANGWA

MADEBE

KASABA
LAMI
PAMBA

MABUKI

MAMBOYA
LAMI
KIMATARE

RAMIA
LAMI
MASUGURU

MALOTE
LAMI
MASANA

MADIBILA

MADUKANI



GOIHMA

IHANDA

IGUMILA

GAILO

MSISIRI B
PELA

GOWEKE

IHEME

IGAWA

IKOMA

NJOKA

KOLONGELE

IKINA

IKOLA

IKAMBA

GOWEKE

FELA

IGUSULE

IGUMILA

DUNGA



MSISIRI A
GUTA

GULWE

NOGOLO

PANAMA

MAHAKAMANI

PEMBA

KEA

YASINI

KIWALABE

SHABANI WAZIRI

DORICE SHAWA

CHAMBEMBE

MSUFINI SOKONI

MKUPETE

RAS JUSSA




MSOLOMI
KILUMBA

KANAZI

ITAGA

ISISI

HOMBOZ

KASEMBE

KARAFUU

JOHN KATO

MPEWANI

MAHAKANI

KIHAMIA

CHAKA

ISELE



KOPA
CCM

NGAILO

KANIKI

BAHARIA

OBWA

VENDE

KINGUTI

BAHATI

IDI

CHANGU

KIRUMO

NGUNGURO

OSALE

MSUYA

NGOZI

MPOKONYOKA

WANYAHI

KOPA
CHAZA

MPERIA

MAULANA

BWETA

NGOMA

SUNGURA

MASANJA

DUNGA   ROAD
ZEGE
SONGORO MNYONGE
LAMI
MWANANYAMALA RD
LAMI


KAMBANGWA
IGUSULE

IKUU

ILEMELA

ILONGELE

ILUNDE

ILUNGU

IPOKEE

NHC

KATANI

JUWATA 1

JUWATA 2

IPOLE

ISEKE

KARAFUU

KASABA

KATE

IGUSULE

LOWA
LAMI
LUHUMBO

MPEWANI
LAMI
MWINJUMA
LAMI
BIASHARA COMPLEX

VIVUTIO VYA UTALII.

HAKUNA KIVUTIO CHA UTALII KATIKA KATA YA MWANANYAMALA

 

MIRADI YA MAENDELEO ILIYOPO KATIKA KATA INAYOENDELEA NA ILIYOKAMILIKA.

  •  UJENZI WA BARABARA YA ISERE KIWANGO CHA LAMI (0.5 KM)-                     
  • UJENZI WA MADARASA 18 YA GHOROFA SHULE YA MSINGI MSISIRI B – AWAMU YA KWANZA MADARASA 6 YAMEKAMILIKA -                               
  • IDADI YA MAAFISA NGAZI YA KATA
  • Mtendaji Kata 1
  • Watendaji wa Mitaa 7
  • Afisa Afya 1
  • Afisa Elimu Kata 1
  • Afisa Ustawi wa Jamii 1
  • Afisa Maendeleo ya Jamii 1

 Polisi Kata 1

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.