• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

Ndugumbi

HISTORIA FUPI:

Kata ya Ndugumbi ilianza mwaka 2000 baada ya Kata ya Magomeni kugawanywa. Asili ya jina la Kata ya Ndugumbi ni kutokana na mzee maarufu aliyekuwa akiishi hapo ambaye yeye na ndugu yake walikuwa wanashirikiana na serikali kwa ukaribu kama wadau wa maendeleo katika utoaji wa maeneo ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya kijamii ikiwemo shule, makanisa na misikiti. Mfano eneo lililojengwa shule ya sekondari Turiani lilitolewa na ndugu hao wawili kusaidia ujenzi  wa shule hiyo.


Ndugumbi ni mojawapo ya Kata za Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 14104 na kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Kata ya Ndugumbi ina jumla ya wakazi 32,862.

Kati ya Wakazi hao Wanaume ni 16,102, Wanawake ni 16,760. Idadi ya Kaya ni 10,577 ambapo wastani wa watu katika Kaya ni 3.1

Kata ya Ndugumbi ina eneo la ukubwa wa mraba 1.315KM (sqm) 0.508. Kadhalika Kata ya Ndugumbi ina Mitaa Minne ambayo ni Mpakani, Mikoroshini, Mpakani na Makanya.

MIPAKA YA KATA YA NDUGUMBI.

Upande wa Mashariki Kata ya Ndugumbi inapakana na Kata ya Magomeni, upande wa Magharibi Kata ya Ndugumbi inapakana na Kata ya Manzese kutoka Wilaya ya Ubungo, upande wa Kaskazini inapakana na Kata ya Tandale na upande wa Kusini inapakana na Kata ya Makurumla kutoka Wilaya ya Ubungo pamoja na Barabara ya Morogoro (Morogoro Road).

MIPAKA YA MITAA YA KATA YA NDUGUMBI.

  • MTAA WA KAGERA MIKOROSHINI.
  • Mtaa wa Kagera Mikoroshini ni mmoja kati ya Mitaa minne inayounda Kata ya Ndugumbi. Mtaa huu una idadi ya Wakazi 7,546 ambapo kati yao, Wanaume 3,542 na Wanawake ni 4,004.
  • Upande wa Kaskazini Mtaa huu unapakana na Mtaa wa Kwa Tumbo ambao upo Kata ya Tandale. Upande wa Kusini Mtaa huu unapakana na barabara ya Morogoro. Upande wa Magharibi Mtaa huu unapakana na Mtaa wa Mpakani ambao upo ndani ya Kata ya Ndugumbi. Upande wa Mashariki unapakana na Mtaa wa Makanya ambao upo ndani ya Kata ya Ndugumbi.
  • MTAA WA VIGAENI
  • Mtaa wa Vigaeni ni miongoni mwa mitaa 4 iliyopo katika Kata ya Ndugumbi Manispaa ya Kinondoni. Mtaa wa Vigaeni una jumla ya wakazi 7,150 kati ya hao ME 3,391 na KE 3,759
  • Jumla ya kaya ni 1,450. Shughuli kuu za Kiuchumi katika Mtaa wa Vigaeni ni biashara.
  • MIPAKA.
  • Kwa upande wa Mashariki Mtaa wa Vigaeni umepakana na Barabara ya Kawawa na Magharibi umepakana na Mtaa wa Makanya, Kaskazini umepakana na kata ya Tandale na Kusini umepakana na barabara ya Morogoro.

MTAA WA MPAKANI.

Mtaa wa Mpakani ni miongoni mwa mitaa 4 iliyopo katika Kata ya Ndugumbi Manispaa ya Kinondoni. Mtaa wa Mpakani una jumla ya wakazi 11,760, kati ya hao ME 5,793, na KE 5,967 Jumla ya kaya ni 2,940. Shughuli kuu za Kiuchumi katika mtaa wa Mpakani ni biashara.

MIPAKA.

Kwa upande wa Mashariki mtaa wa Mpakani umepakana na Mtaa wa Kagera Mikoroshini na Magharibi umepakana na Kata ya Manzese, Kaskazini umepakana na kata ya Tandale na Kusini umepakana na barabara ya Morogoro.

 

MTAA WA MAKANYA.

Mtaa wa Makanya ni miongoni mwa mitaa 4 iliyopo katika Kata ya Ndugumbi Manispaa ya Kinondoni. Mtaa wa Makanya una jumla ya wakazi 4,942, kati ya hao ME 2,416, na KE 2,526 Jumla ya kaya ni 1,526. Shughuli kuu za Kiuchumi katika mtaa wa Makanya ni biashara.

HALI YA ELIMU 

 Jumla ya shule ni 5. Serikali 4 Binafsi 1

  • Shule za msingi (Serikali)
  • Turiani – ME 466 KE 450 JUMLA 916
  • Ndugumbi –ME 509 KE 432 JUMLA 943
  • Shule ya msingi (binafsi)
  • Mwalimu Nyerere – ME 433 KE 368 JUMLA 801
  • Shule ya sekondari (serikali)
  • Turiani – ME 701 KE 757 JUMLA 1458
  • Shule ya Sekondari
  • Baptist………



  • Idadi ya Maafisa ngazi ya Kata 
  • Mtendaji Kata -1
  • Watendaji Mitaa -04
  • Afisa Afya Kata -2
  • Afisa Elimu Kata -1
  • Afisa Ustawi wa Jamii-1
  • Afisa Maendeleo ya Jamii-1
  • Afisa Kilimo -1


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Ndugumbi ni ya kuridhisha kwani Kata ina Kituo cha Afya cha serikali pamoja Zahanati za serikali na binafsi.


KITUO CHA AFYA KILICHOPO KATA YA NDUGUMBI:

Kituo cha Afya kilichopo ni kimoja ambacho ni cha serikali kinaitwa Kituo cha Afya cha Magomeni.


ZAHANATI ILIYOPO KATA YA NDUGUMBI:

Kata ya Ndugumbi ina Zahanati moja ya binafsi inayojulikana kwa jina la Zahanati ya Subi.


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Hali ya  miundombinu ya barabara ni ya wastani, kukiwa na barabara kadhaa zinazoitaji  marekebisho madogo, pamoja na kuwekewa mitaro mizuri pembezoni mwa barabara. Kkwa upande wa barabara za lami kuna takribani kilomita 10 barabara za kiwango cha lami katika kata ya Ndugumbi.


MAHUSIANO NA WADAU:

Hali ya Mahusiano na wadau katika Kata ni ya kuridhisha kwani hushirikiana pamoja katika kuleta maendeleo .


MIRADI  YA KUJIVUNIA KATIKA KATA:

Kata inayo miradi inayojivunia kwayo ambayo hutekelezwa kama ifuatavyo:-

  • Benki ya DCB
  • Finca
  • Tanesco
  • Nida
  • Bank ya CRDB
  • TTCL
  • Makao Makuu ya Halmashauri
  • Oilcom
  • Lake Oil


HALI YA MAENDELEO YA WATU:

Katika Kata ya Ndugumbi, mipangomiji ni ya wastani, lipo eneo la Bonde Mtaa wa Makanya Vigaeni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.