Tarehe iliyowekwa: February 22nd, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila Februari 22, 2024 amezindua Nyumba za Walimu zenye thamani ya shilingi milioni tisini na moja katika Shule ya Sekondari Godwin Gondwe iliyopo ...
Tarehe iliyowekwa: February 21st, 2024
Baada ya kukagua ujenzi wa miradi katika Jimbo la Kinondoni Februari 21, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, amehitimisha ziara yake kwa kusikiliza na kutatua kero za wana...
Tarehe iliyowekwa: February 21st, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila amewataka Wananchi wa Kata ya Makumbusho na Dar es Salaam kwa ujumla kutokuhusisha TANESCO na siasa.
Mheshimiwa Chalamila aliyasema ...