Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria Manispaa ya Kinondoni, Bw. Charles Lawisso, akiwapitisha Wenyeviti wa Mitaa 106 na Wajumbe wao wa Kamati za Mtaa katika majukumu yao.
Viongozi hao waliapishwa Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko la Magomeni baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 27,2024.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.