Tarehe iliyowekwa: February 24th, 2024
Wananchi wametakiwa kuendelea kufanya usafi kila siku ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko yanayotokana na uchafu.
Afisa Afya wa Kata ya Ndugumbi, Bi. Irene Sayo, aliyasema hayo Februari 24, 2024 k...
Tarehe iliyowekwa: February 23rd, 2024
"Naomba niongee kama mwanamke na mzazi, masuala ya udhalilishaji na unyanyasaji hayatakiwi kufumbiwa macho kabisa. Ofisi ya Mkurugenzi ipo wazi muda wote kupinga masuala hayo."
Tahadhari iliyotolew...
Tarehe iliyowekwa: February 23rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Saad Mtambule, ameelekeza fedha za Elimu kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
Mkuu huyo wa Wilaya aliyasema hayo Februari 23, 2024 katika hafla ya kuwapongez...