Tarehe iliyowekwa: June 29th, 2020
Halmashauri za Mkoa wa Dar es salaam zimetakiwa kuiga mfano wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani, Serikali kuu pamoja na wadau kama ilivyotekelezwa katika Manis...
Tarehe iliyowekwa: June 25th, 2020
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja.
Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri...
Tarehe iliyowekwa: June 25th, 2020
Hayo yamebainishwa na Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Josephat Kandege alipozuru Kinondoni kwa lengo la ukaguzi wa miradi ya maendeleo, kujiridh...