• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

RC CHALAMILA AZINDUA NYUMBA ZA WALIMU KUNDUCHI

Tarehe iliyowekwa: February 22nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila Februari 22, 2024 amezindua Nyumba za Walimu zenye thamani ya shilingi milioni tisini na moja  katika Shule ya Sekondari Godwin Gondwe iliyopo Kata ya Kunduchi.

Akizindua Nyumba hizo Mhe. Chalamila amewataka Wanafunzi hao kusoma kwa bidii, "mnapaswa kusoma kwa bidii bila kujali wanaosema Shule za Kata, mana kuna kasumba hiyo".

Hizi Shule hazijaanza leo kuna wakati tulipata msaada kutoka Serikali ya Cuba tukajenga Shule kama hizi, watu wakasoma ma wakafaulu shule hizi hizi. Aliongeza kuwa zamani tulisoma mbali, kutoka hapa kwenda kusoma Kigoma.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Saad Mtambule alisema hii ni dhamira ya Rais wetu kuboresha elimu. Kwa kuwepo Walimu hapa, ulinzi utaimarika katika Shule yetu. Aliongeza kuwa "tutajenga Nyumba nyingi zaidi, huu ni mwanzo". Nyumba nyingine zipo pale kijitonyama Sekondari. Tunamshukuru Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutujali kwa miradi mingi sana katika Wilaya yetu.

Naye Meya wa Manispaa Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge aliongeza kuwa sisi Kinondoni tunamtendea haki Rais wetu na pia  tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutuunga mkoni  na wewe Mkuu wetu wa Mkoa tunakushukuru kwa kutuongoza na kutusimamia. Leo hii nakupongeza kwa kuja kushuhudia na tunakuahidi tunaendela kuchapa kazi.

Upande wake Mwenyekiti wa Huduma za Uchumi, Afya na Elimu Mhe. Richard Mgana, Diwani wa Kata ya Kigogo kwa niaba ya Kamati yake amepongeza ujenzi  wa Nyumba hizo "Kwa hili Tunamtendea haki Mama Samia Suluhu Hassan Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Awaasa Wanafunzi waachane na makundi wasome, wajitume.

Mwisho Mkuu wa Shule hiyo Mwl. Nuriath Rusheke ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia  Suhulu Hassan kwa ujenzi huo wa Nyumba za Walimu.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.