• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KUELEKEA KAMPENI YA UTOAJI KINGA TIBA ZA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO KWA MKOA WA DAR ES SALAAM

Tarehe iliyowekwa: August 28th, 2018

KINONDONI YATOA MAFUNZO KWA WAALIMU WA AFYA MASHULENI, NA WATOA HUDUMA, YA JINSI YA KUENDESHA ZOEZI HILO SIKU YA ALHAMISI

Kinondoni kupitia idara ya Afya kitengo cha magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele,  kimeendesha mafunzo ya siku moja  kwa waalimu wa masuala ya Afya mashuleni, pamoja na watoa huduma kutoka vituo vya afya na zahanati za Serikali, wa jinsi ya kugawa kinga tiba  kwa magonjwa ya kichocho na minyoo ya tumbo, kwa wanafunzi kuanzia umri wa miaka mitano(5) hadi kumi na nne(14), kampeni inayotarajiwa kufanyika siku ya Alhamis.

Akizungumzia dhumuni la mafunzo hayo, Msimamizi wa Kampeni ya magonjwa hayo kwa  Manispaa ya Kinondoni Dr.Neema Mlole amesema,  mafunzo haya yanalenga kuwaandaa,waalimu katika kufanikisha zoezi hilo, likienda sambamba na  kuwafundisha vigezo vinavyotakiwa kuzingatiwa wakati wa  utoaji wa kinga tiba hizo kwa wanafunzi, kadhalika na kuwapatia vifaa vikihusisha kipimo cha urefu, na dawa hizo  kwa ajili ya utekelezaji.

Amesema kuelekea siku ya Alhamisi ya tarehe 30/08/2018,  Kinondoni inatarajia kutoa aina mbili za  kinga tiba ambazo ni Prazguantel kwa magonjwa ya kichocho na Albendazol kwa Minyoo ya tumbo kwa wanafunzi takribani 121,086 kutoka shule 157,  za Manispaa.

"Kinga tiba zitakazotolewa ni mbili, ambazo ni albendazol kwa ajili ya minyoo, na Prazguantel kwa ajili ya kichocho. Katika dawa hizi kabla ya kumpatia mtoto vipo vigezo vinavyotakiwa kuzingatiwa ambavyo ni kwanza Mtoto awe amekula chakula na kushiba, na pia apimwe urefu kwani Prazguantel kwa ajili ya kichocho idadi ya vidonge vyake  huzingatia urefu." Amefafanua Dr.Neema.

Ameongeza kuwa ni muhimu kwa watoto hawa kupatiwa kinga tiba hizi ili waweze kuepukana na madhara yanayoweza kujitokeza, na kwamba dawa hizi hazina madhara yeyote kwa mwanadamu.

Mafunzo haya yaliyofanyika katika ukumbi wa Matakatifu Yosefu Manzese yamehusisha  waalimu wa masuala Afya na watoa huduma vituo vya  Serikali takriban 500, kwa lengo la kufanikisha kampeni hiyo ya utoaji wa kinga tiba siku ya Alhamisi tarehe 30/08/2018.

Imeandaliwa na

Kitengo cha Uhusiano na habari.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.