• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KINONDONI KUTEMBELEWA NA RC MAKONDA UKAGUZI MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe iliyowekwa: June 18th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yenye majimbo mawili, kuanzia Juni 20 hadi 21 mwaka huu itakayohusisha ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayoenda sambamba na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi

Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa miradi hiyo ni ile iliyotekelezwa kwa kipindi cha Miaka mitano ya Uongozi wa Rais Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli, ambayo imetekelezwa kwa fedha ambazo ni vyanzo mbalimbli ikiwemo mapato ya ndani, Serikali Kuu na Wadau.

Amesema kwa kufanya hivyo ni kuonesha uzalendo hasa ikizingatiwa miradi hiyo imetekeleza kwa kiwango kilichokusudiwa na kukamilika kwa ubora na wakati uliopangwa.

“Miradi hii ambayo Manispaa imetekeleza nikutokana na dhamana ambayo CCM imetupatia na hivi sasa tunakwenda kukiabidhi ,nasio hii tu ambayo tumeitaja , Manispaa ya Kinondoni inamiradi mingi mikubwa ambayo imefanyika ila hii tumeichagua kama alama ya uwasilishwaji wa majukumu yetu” amesema Mhe.Chongolo.

Ameitaja miradi ambayo itatembelewa kwa Jimbo la Kawe kuwa ni umaliziaji wa Hospitali ya Wilaya iliyopo Mabwepande, jengo la Mama na Mtoto RCH, nyumba ya watumishi wa Hospitali hiyo, Shule ya Sekondari ya wasichana Tumaini, Kiwanda cha kuchakata taka kilichopo Mabwepande, Kituo cha Afya Bunju, ujenzi wa mantaki matano ya maji yenye ujazo wa mita milioni saba pamoja na Zahanati ya Mikoroshini.

 Kwa upande wa Jimbo la Kinondoni Miradi itakayotembelewa ni ujenzi wa Kiwanja cha kisasa cha mpira kilichopo Mwenge, Kituo cha daladala Mwenge, Soko la Sinza Africasana, ujenzi wa Barabara ya Moroco mwenge yenye urefu wa kilomita 4.2, Hospitali ya Mwananyamala jengo la Mama na Mtoto,  Kituo cha Afya cha Kisasa Kigogo kilichojengwa kwa ghorofa tano, shule ya Sekondari Mzimuni kwa ngazi ya Ghorofa mbili pamoja na Soko la Kisasa Magomeni.

Katika hatua nyingine , Mkuu huyo wa Wilaya Kinondoni amesema kuwa Manispaa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeweza kuboresha miundombinu ya sekta muhimu za Afya pembezoni mwa mji iliyopeleke wananchi kupata huduma za afya kwa urahisi, na ile ya elimu kwa wenye uhitaji  maalumu hali iliyofanikisha makundi haya maalumu kupata huduma stahiki.

Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.


Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.