Mwenge maalum wa Uhuru kwa mwaka 2021 katika Wilaya ya Kinondoni utakimbia Kilomita 70.8, utazindua, utaweka jiwe la msingi na utatembelea jumla ya miradi minane yenye thamani ya takribani Sh. bilioni 14.4 fedha za Kitanzania.


Kikundi cha Uyoga Plus kilichopo kituo cha Kilimo Malolo Mabwepande.

Ujenzi wa Kiwanda cha Mboji Mabwepande

Ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Mkoani

Ujenzi wa Mfereji wa Kilongawima uliopo Mtaa wa Kilongawima

Ujenzi wa barabara ya TRA uliopo Kata ya Kijitonyama

Ujenzi wa soko la Bwawani lililopo Mtaa wa Bwawani

Ujenzi wa Zahanati ya Magomeni
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.