Posted on: October 17th, 2017
Manispaa ya Kinondoni imesaini mkataba wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata taka kitakachojengwa eneo la Mabwepande na kitagharimu shilingi takriban Bilioni 5.56 hadi kukamilika kwa...
Posted on: October 16th, 2017
Manispaa ya Kinondoni imekabidhiwa Maktaba ya kisasa yenye thamani ya zaidi ya milioni themanini kutoka Korea ya Kusini kwa lengo la kuimarisha mfumo wa Elimu kwa shule za msingi utakaowajengea ...
Posted on: October 11th, 2017
Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mh Benjamin Sitta Leo amepokea ujumbe wa Madiwani ishirini na tisa (29), pamoja na watendaji nane (8),kutoka Manispaa ya Moshi kwa lengo la kujifunza na kuba...