Tarehe iliyowekwa: April 8th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo ameliagiza Jeshi la Polisi Wilayani hapo kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuingia kwenye mito na kuchimba mchanga katika bonde la mto Salasa...
Tarehe iliyowekwa: April 3rd, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kupambana vikali kuthibiti kuenea kwa virusi vya COVID 19 (Corona) kwa kupuliza dawa katika hotel za kitalii zilizopo katika Halmashauri hiyo.
Hatua ...
Tarehe iliyowekwa: March 30th, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepokea vifaa vya kunawia mikono (zaidi ya ndoo 100) pamoja na Vitakasa mikono kutoka mtandao wa kubashiri wa SportPesa kwa lengo la kuwasaidia wananchi kujikinga...