Ili kupata ufafanuzi kuhusu namna ya kupata leseni ya biashara katika Manispaa ya Kinondoni bonyeza hapa.
Ili kupata maelezo zaidi ya ufafanuzi kuhusu taratibu za kupata kibali cha ujenzi katika Manispaa ya Kinondoni, bonyeza hapa.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ina jumla ya Kata ishirini (20)
coming soon
Michoro itaidhinishwa ndani ya siku saba (7) toka mwombaji awasilishe maombi ya jengo la chini (mfuto). Na siku kumi nne (14) jengo la ghorofa. Aidha ndani ya muda huo mwombaji ataarifiwa sababu za michoro kutoidhinishwa kupata kibali cha ujenzi.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ina jumla ya Mitaa maia moja na sita (106)
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ina jumla ya Majimbo mawili (02) ya uchaguzi ambayo ni jimbo la Kinondoni na Kawe
Anwani za makazi ni nyenzo muhimu inayounganisha mawasiliano kati ya mtumaji wa taarifa ama bidhaa na mpokeaji. Anwani ya makazi inarahisisha na kuharakisha utoaji na ufikishaji wa huduma ama bidhaa mahali stahiki alipo mwa
NaPA ni mfumo wa kidigitali wenye kanzidata ya anwani za makazi. Kupitia mfumo huu mwananchi anaweza kupata huduma zilizopo karibu kama Hospitali, ATM, Benki n.k, anaweza kupata uelekeo kutoka anwani moja hadi nyingine.
Mfumo wa NaPA unapatikana katika wavuti (website portal) na programu rununu (Mobile application) kwenye simu za androidi na simu za iphone
Kutumia mfumo wa NaPA kuna manufaa yafuatayo: - Kurahisisha utambuzi wa mahali kwa urahisi na kukuongoza hatua kwa hatua namna ya kufika bila wasiwasi. Kusaidia kupata postikodi ya mahali kwa urahisi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.