Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni anaitwa Mhe. Songoro Hamis Mnyonge
Ifahamike wazi kuwa kila mwananchi anayo haki ya Kusikilizwa na kupatiwa majibu ya suala lake na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni. Hivyo upo utaratibu wa kuona wananchi na kuwasikiliza kwa siku mbili kila wiki.
Ili uweze kumuona Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni unatakiwa ufike ofisi za Manispaa zilizoko mkabala na Kituo cha Afya cha Magomeni barabara ya Kawawa na Morogoro siku ya JUMATATU NA ALHAMISI kuanzia saa 3:00 Asubuhi mpaka saa 8:00 Mchana.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.