Tarehe iliyowekwa: November 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule amewasihi Wananchi kuendelea kuchukua tahadhali ili kuepukana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua zinaendelea kunyesha wakati huu.
Mhe. Saad ame...
Tarehe iliyowekwa: October 28th, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Rehema Madenge amewataka watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kufanya kazi kwa weledi na uzalendo ili kuipeleka mbele Manispaa ya Kinondoni.
Ame...
Tarehe iliyowekwa: October 28th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeanzisha mfumo wa kanzi data kwa wamachinga utakaosaidia kuwaweka pamoja na kutoa fursa za mbalimbali za kibiashara na kiuchumi.
Hayo yamebainishwa na M...