Wananchi katika Kata ya Ndugumbi wameiomba Manispaa ya Kinondoni kuwachukulia hatua za kisheria wanaokaidi na kukwamisha zoezi la usafi.
Bw. Godfrey Mkoba mkazi wa Kata hiyo alisema kuwa, "litakuwa jambo jema ikiwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wakwamishaji wa usafi kutokana na umuhimu wake kimazingira na kiafya."
Awali, Mkuu wa Kitengo cha Usafi na Usafishaji, Bw. Shedrack Maximillian, alisema kuwa Manispaa imeandaa mkakati wa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wasiofanya au kukwamisha usafi.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.