Wajumbe wa kamati ya kudhibiti UKIMWI wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (CMAC) Februari 29, 2024 wamefanya tathimini ya uendeshaji wa Kamati za Kudhibiti UKIMWI wa ngazi ya Kata (WMACS) kwa kutembelea Kata ya Makongo na Hananasif.
Aidha Kamati imempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Hamza kwa juhudi kubwa anayofanya katika kudhibiti maambukizi ya ugonjwa UKIMWI ndani ya Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.