• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

KINONDONI YATEKELEZA, KUELEKEA NANE NANE 2017.

Posted on: August 5th, 2017


 ANGALIA NJIWA HAWA! 

 Sekta ya Mifugo Manispaa ya Kinondoni katika maonesho ya Nane nane ya mwaka 2017 imedhamiria kutekeleza vema kauli mbiu ya mwaka huu isemayo "Zalisha kwa tija mazao na bidhaa za Kilimo, mifugo na uvuvi ili kufikia uchumi wa Kati".kwa kuwainua wafugaji. 

 Hii imedhihirika pale ambapo mfugaji, na  mjasiriamali Ndg Mustapha Ismail alipotakiwa kuzungumnzia aina ya Njiwa walioonekana kuwa kivutio cha wengi katika maonesho haya.

 Amesema njiwa hawa wanajulikana kwa jina la Simba na ni kutokana na muonekano wao wa kuwa na manyoya mengi, na asili yake ni Marekani na Uarabuni. 

 Amesema ni ndege wenye faida kubwa na mafanikio katika kuongeza kipato kwa mtu yeyote yule na kwa wakati wowote ule mfano njiwa hawa hutotolewa mayai kuanzia siku ya kumi na nne(14) hadi kumi na tano(15). Yai lake moja ni shilingi 30,000/=na kwa mwaka hutotoa mara mbili mpaka mara tatu.

 Amezitaja faida nyingine kuwa ni njiwa wanaodumu kwa muda mrefu, na wasiowepesi kushambuliwa na maradhi, pia hutumika kama  urembo, na kinyesi chake kama mbolea.

 Ameongeza kuwa ukiwa nao ndani ni ulinzi wa kutosha kutokana na sauti ya tofauti na muonekano wa tofauti wanaoukuwa nao wakati wa hatari, na ni chanzo kikubwa cha kipato  kwani njiwa mmoja huuzwa tsh 700,000/=

 Njiwa hawa aina ya Simba wanalishwa vyakula vya mtama, Choroko, Ngano, Karanga na kunde, na mchanganyo huo wa vyakula unahitaji umakini wa kutosha. 

 Naye Mtaalamu wa Mifugo kutoka Manispaa ya Kinondoni amesema njiwa hawa ni ndege wa asili na ndio maana wanakula vyakula vya asili. 

 Ameongeza kuwa hawana gharama kubwa kwenye ulishaji ukilinganisha na ndege wengine mf Kuku ambao wanakula vyakula vya viwandani ambavyo ni gharama. 

 Njiwa hawa wamekuwa kivutio kikubwa cha watu kutaka kuwaona.

 Ni banda la Kinondoni pekee, utakutana na haya na mengine lukuki kuhusiana na mifugo, kilimo na uvuvi. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki