• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

HOSPITALI YA WILAYA YA MABWEPANDE

Start Date: 2014-07-01
End Date: 2021-11-30

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni katika kuboresha miundombinu ya sekta ya Afya inatekeleza mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya iliyopo katika Kata ya Mabwepande kwa gharama ya shilingi za Kitanzania bilioni 2.5 fedha kupitia mapato yake ya ndani hadi kukamilika kwake.

Mradi huu wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ulianza mwaka 2014 na umekuwa ukitekelezwa kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha.

Kukamilika kwa mradi huu kutasogeza huduma kwa wananchi wa maeneo ya Bunju, Mabwepande, Tegeta, Boko, Mbweni, Kawe, Kunduchi, Madale, Goba na maeneo ya jirani kuwa na uhakika wa huduma bora za Afya.

Aidha hadi kufikia Novemba, 2021 yamekwisha jengwa majengo sita ambayo ni:-

  1. Jengo la Wagonjwa wa ndani (IPD)
  2. Jengo la Maabara
  3. Jengo la Mionzi (Radiology)
  4. Jengo la Phamasi
  5. Jengo la kuhifadhi maiti (Mortuary)
  6. Jengo la Wodi ya Wazazi (Maternity Block)

Mradi huu utasaidia upatikanaji wa :-

  1. Huduma zote za wagonjwa wa kutwa (OPD) na wa kulazwa (IPD).
  2. Kuhudumia wagonjwa wa kutwa/OPD kati ya 400 – 700 kwa siku.
  3. Vitanda vya kulaza (IPD) vipatavyo 186 hadi 224.
  4. Vyumba vya upasuaji, Maabara, Vyumba vya vipimo kama X- Ray ,CT – Scan, Utra Sound, ECG n.k
  5. Eneo la kisasa la huduma za dharura.
  6. Eneo la fiziotherapia.
  7. Eneo la huduma za kinywa, Meno, Sikio, Koo na Macho.
  8. Eneo la kuhifadhi dawa (Main pharmacy na sehemu ya kutolea dawa kwa wagonjwa (Dispensing area).
  9. Eneo la kuhifadhia maiti.

Matangazo

  • MABADILIKO YA VITUO VYA KUFANYIA MAFUNZO YA SENSA July 30, 2022
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA KWA MAKARANI, WASIMAMIZI WA MAUDHUI NA TEHAMA TAREHE 27 JULAI, 2022 WILAYA YA KINONDONI July 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA SENSA 2022 July 19, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • FANYENI KAZI KWA UAMINIFU

    August 16, 2022
  • DC GONDWE: ASISITIZA MAAGIZO YA RC AMOS MAKALLA KUFANYIWA KAZI

    August 16, 2022
  • "AHIMIZA UADILIFU WAKATI WA SENSA" DC GONDWE KINONDONI

    July 28, 2022
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI AFYA NA ELIMU KINONDONI IMEFANYA ZIARA KATA YA KAWE

    July 28, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.