Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Abdul Mhinte Julai 03, 2025 ametembelea Banda la Manispaa ya Kinondoni kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa "Sabasaba" kujionea namna ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka kwa Wajasiriamali wa Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.