Halmashauri ya Manispaa Kinondoni leo julai 9,2025 imezindua kamati ndogo ya chakula na vipodozi yenye lengo la kueleweshana dhidi ya biashara ambazo zimekasimishwa ndani ya Halmashauri na namna ya ulipaji wa ada za tozo za usajili wa majengo ya biashara hizo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.