• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

WANAFUNZI WAPEWA ELIMU YA BAJETI YA SERIKALI

Tarehe iliyowekwa: July 8th, 2023

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Divisheni ya Maendeleo ya Jamii imetoa mafunzo ya bajeti kwa wanafunzi kutoka Kata 20 ili kuweza kuona namna ya ushirikishwaji wa watoto katika bajeti za Serikali.

Akiongea katika mafunzo hayo Mratibu wa Dawati la Maendeleo ya Watoto kutoka Manispaa ya Kinondoni Bi. Clara Manasseh amesema lengo la kutoa mafunzo hayo ni kutaka watoto waweze kufahamu mambo yanayohusu watoto yanawekwa katika bajeti hivyo kama hayawekwi waweze kuwashauri Madiwani na viongozi wengine  ili masuala ya watoto yaweze kushugulikiwa katika bajeti  kupitia Baraza la Madiwani.

Pia, Bi.Clara ametoa wito kwa watoto waweze kujikita katika masuala yanayowahusu wao, kutambua haki zao na kuwa na maadili mema katika jamii wanazoishi ili kutengeneza Taifa bora na imara.

Kwa upande wake muwezeshaji kutoka UNA Bw. Lucas Kifyasi ameeleza namna ya vijana wanavyotakiwa kuwajibika na kushiriki katika fursa mbalimbali ili waweze kupata haki zao.

Hata hivyo katika mafunzo hayo Bw. Kifyasi amesema Waheshimiwa Madiwani ndio wahusika wakuu wa kujadili bajeti kwa kuangalia vipaumbele vya wananchi.

Vile vile ametoa elimu kuhusu namna ya kuandaa vipaumbele ambapo vipaumbele hivyo vinaandaliwa kila Kata kulingana na mahali ilipo, idadi ya wananchi wake katika umri wowote huwa na vipaumbele vyake.

Pamoja na kuandaa bajeti lakini kuna muingiliano wa kimahitaji unaopelekea  kutokamilika kwa baadhi ya miradi ikiwa ni pamoja na mlipuko wa magonjwa, majanga mbalimbali na upandaji wa bei ya vitu ambapo inakua nje ya bajeti za Serikali.

Nae Mtaalamu Afisa Ulinzi wa Mtoto na Haki za Watoto kutoka Shirika la Save the Children Bw. Alex Enock amesema lengo kubwa  ni kuhakikisha watoto wanapata fursa  ya kushiriki katika Kata zao kwenye mipango na bajeti na kuhakikisha inatetea haki zao pia kuzijua fursa za ushiriki wa mawazo yao katika kuboresha bajeti ya Serikali.


Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini: Manispaa ya Kinondoni

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.