• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

UTAMBUZI, USAJILI NA UFUATILIAJI WA MIFUGO KIELEKTRONIKI

Tarehe iliyowekwa: September 26th, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imezindua rasmi utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa kutumia hereni za kielekitroniki katika mtaa wa Ada Estate, Kata ya Kinondoni leo Jumatatu Septembea  26, 2022.


Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Mwajuma Chaurembo aliwaambia wafugaji na wadau wengine waliohudhuria katika uzinduzi huo kuwa mfumo huo wa utambuzi, usajili na ufuatiliaji una manufaa makubwa ikiwa ni pamoja na kurahisisha biashara ya mifugo na mazao yake, mifugo kutambulika ilipo na wamiliki wake, udhibiti wa wizi wa mifugo, kurahisisha upatikanaji wa mifugo iliyopotea, kurahisisha upatikanaji wa mikopo na bima ya mifugo, kukabili magonjwa ya mlipuko, hakikisho la usalama wa chakula na kurahisisha uboreshaji wa koosafu za mifugo.

Naye Bertilla Lymo Mkuu wa Sehemu ya Mifugo aliwambia wadau wote waliohudhuria kuwa zoezi hili ni urejelezwaji wa mwongozo uliotolewa na  Wizara ya Mifugo na Uvuvi juu ya urejelezwaji wa Sheria ya utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo Na.12 ya mwaka 2010 na Kanuni zake za mwaka 2011, Sera ya Taifa ya Maendeleo ya  Mifugo ya mwaka 2006 na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) lbara ya 40 ya mwaka 2020- 2025.

Akizungumzia lengo kuu la zoezi hilo alisema kuwa ni kuweka utaratibu mzuri wa kuwezesha utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa kuonesha mahitaji, majukumu na wajibu wa kila mdau ili kufikia lengo la jumla la la mifugo yote ya Tanzania kutambuliwa na kusajiliwa.

Uwekaji huu wa alama za utambuzi kwa kutumia hereni unafanywa kwa ushiriano wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Sekta binafsi ambapo hereni bora za kielekitroniki zimeandaliwa na katika Manispaa ya Kinondoni litahusisha Kata zote 20 za Manispaa.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serkalini: Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.