Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Kamati ya tathmini ya lishe iliyoongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Stella Msofe imefanya kikao cha tathmini ya lishe katika Shule za Msingi na Sekondari zote za Wilaya ya Kinondoni katika kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2023/2024.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.