• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

RC MAKONDA AZINDUA ZOEZI LA UEZEKAJI MAJENGO YA UTAWALA KWA KUWEKA BATI JENGO LA UTAWALA SHULE YA MSINGI MAPINDUZI

Tarehe iliyowekwa: January 29th, 2018

 NI KUFUATIA MRADI WA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAALIMU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NJE YA BAJETI YA SERIKALI WENYE LENGO LA KUJENGA MAJENGO 402 YA UTAWALA. 

 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda amezindua zoezi la uezekaji wa mabati juu ya jengo moja kati ya majengo 46 ya utawala yanayoendelea kukamilika katika mradi wa majengo 100 yanayojengwa kwa wakati mmoja kwa lengo la kuboresha Mazingira ya waalimu nje ya bajeti ya Serikali kwa shule za Msingi na Sekondari.

 Uzinduzi huo umefanyika leo katika shule ya msingi  Mapinduzi iliyoko Kata ya Kigogo kwa kuweka mabati sita kwenye jengo la utawala hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa chamá na Serikali,  Wah Madiwani, Wakuu wa Idara na vitengo wa Halmashauri za Mkoa wa Dar Es Salaam pamoja na Wadau wa Elimu. 

 Amesema kwa kuweka bati jengo hilo ni kuelekea kwenye hatua za mafanikio zinazoleta matokeo chanya katika sekta ya Elimu kwa kuhakikisha Mazingira yanaboreshwa kwa kiwango kinachokubalika na chenye ubora na hasa ikizingatiwa lengo ni kujenga Majengo 402 kwa shule za Msingi na Sekondari Mkoani Kwake. 

 "Ili si Jambo rahisi, na hata wakati tunaliwaza wengi walisema haliwezekani, na wengine wakabaki kuuliza idadi ya ofisi, wanapotajiwa ni idadi ya ofisi 402 wanasema hili Jambo haliwezekani, leo ninaposimama mbele yenu si tu kwamba tunaongelea mapango, si tu kwamba tunaongelea ufyatuaji wa matofali, si tu kwamba tunaongelea ujenzi wa msingi, bali sasa tunaongelea uwekaji wa bati juu ya jengo moja kati ya majengo 46 yanayoendelea kukamilika kwenye mradi wa majengo 100 kwa wakati mmoja " Amebainisha Mh Makonda. 

 Ameongeza kuwa mradi huu unaendeshwa na wananchi wenyewe ikiwa ni katika kumuunga mkono Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe  Joseph Magufuli katika dhamira yake timilifu ya kutoa elimu bure kwa wanafunzi kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne. 

 Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mh Benjamin Sitta amempongeza  Mh Makonda kwa ubunifu na juhudi alizonazo za kuboresha mazingira ya waalimu na Elimu  na kumuunga mkono kwa kuiomba kamati ya ujenzi ya Mkoa kupeleka wajenzi kwenye shule nne za Manispaa hiyo ambazo tayari zina vifaa vyote vinavyotakiwa hadi kukamilika kwake 

 Amezitaja shule hizo kuwa ni shule ya Msasani B, shule ya kyumbageni iliyoko mbweni, shule ya ununio iliyoko kunduchi, na Shule ya Mtongani iliyoko kunduchi.

 Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mapinduzi  Bi Fina Mauky amezitaja changamoto za shule yake katika risala aliyoisoma kwa Mkuu wa Mkoa kuwa ni kuvamiwa kwa mipaka  ya shule, ukosefu wa uzio  kunakosababisha vibaka kupora vifaa vya wanafunzi na raia wapitao kwa miguu kukabwa nyakati za usiku. 

 Akizijibu changamoto zilizotolewa na uongozi wa shule hiyo Mkuu huyo wa Mkoa amewataka wavamizi wa maeneo ya shule kuchukuliwa hatua za kisheria, na Maafisa Mipangomiji wa Halmashauri za Mkoa wa Dar Es Salaam kuhakikisha wanafufua mipaka ya shule zote zilizovamiwa katika Halmashauri zao. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Habari na Uhusiano.
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.