• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH. ALLI HAPI AZINDUA MTANDAO WA TASNIA YA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA KATIKA WILAYA YA KINONDONI.

Tarehe iliyowekwa: January 27th, 2018

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Alli Hapi amezindua mtandao wa tasnia ya wafugaji wa Ng'ombe wa maziwa  Wilaya ya Kinondoni wenye lengo la kuwarahisishia upatikanaji wa fursa mbalimbali zitolewazo na Serikali kwa mfumo wa vikundi kama vile mikopo. 

 Uzinduzi huo umefanyika leo katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam ambapo vikundi zaidi ya 13 vyenye wanachama zaidi ya 200 vimeshiriki. 

 Akiongea Mara baada ya uzinduzi huo Mh Hapi amesema wafugaji wengi wanatakiwa kuhakikisha wanajiunga kwenye vikundi kwani ndio njia rahisi na pekee ya wao kufaidika na huduma mbalimbali zitolewazo na Serikali.

 Amezitaja huduma hizo kuwa ni  mikopo, mafunzo juu ya  elimu ya ufugaji wa kisasa  utakaowajengea uwezo, urahisi wa upatikanaji wa tarifa zinazowahusu pamoja na jinsi ya kupata masoko ya uhakika. 

 Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ambaye pia ni Mkuu wa idara ya Mifugo Bi Patricia Henjewele amesema kuwa kwa Wafugaji wa Ngo'mbe wa maziwa kujiunga kwenye vikundi itawarahisishia Serikali kupeleka misaada ya wataalam kwa ajili ya kutoa elimu sahihi ya ufugaji wa kisasa na jinsi ya kupata matokeo mazuri ya mazao ya maziwa. 

 Katika hatua nyingine Mh Hapi ametoa rai kwa watanzania kujenga mazoea ya kunywa maziwa kwa lengo la kuimarisha afya ya mwili kunakoenda sambamba na virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye maziwa. 

 " Ndugu zangu sekta ya maziwa ni  Moja  katika sekta  nyeti na muhimu Sana kwa ukuaji na afya zetu Kama binaadamu, hivyo nasisitiza tujenge mazoea ya kunywa maziwa kwa ajili ya kuboresha afya zetu" Amesisitiza Hapi

 Awali akitoa taarifa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mwenyekiti wa mtandao  huo wa maziwa Bw Nyaupe ameushukuru  uongozi wa Manispaa ya Kinondoni kuzindua mtandao huo kwani wafugaji wakiwa pamoja inakuwa rahisi kupata fursa ya kubadilishana uzoefu wa kitaalam na kupeana miongozo ya masoko itakayowasaidia kufanikiwa katika shughuli zao. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano na Habari
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.