• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

"MASHIRIKA YA UMMA, SEKTA BINAFSI SHIRIKIANENI NA SERIKALI KATIKA KUMUWEZESHA MWANAMKE ".

Tarehe iliyowekwa: March 8th, 2018

NI KAULI YAKE MAMA JANET MAGUFULI  KATIKA MAADHIMSHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YENYE KAULI MBIU ISEMAYO "KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA TUIMARISHE USAWA WA KIJINSIA NA UWEZESHAJI WA WANAWAKE VIJIJINI "

 Mashirika ya Umma na Sekta binafsi kote nchini yametakiwa kuhakikisha yanashirikiana bega kwa bega na Serikali katika kumuwezesha mwanamke kujikwamua kiuchumi na kimaendeleo. 

 Kauli hiyo imetolewa leo na Mama Janet Magufuli, Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipokuwa Mageni rasmi siku ya maadhimisho ya mwanamke duniani yenye kauli mbiu isemayo "Kuelekea Uchumi wa viwanda tuimarishe usawa wa Jinsia na uwezeshaji wa wanawake vijijini."

 Amesema kufuatia kauli mbiu hiyo wanawake wanatakiwa kujengewa uwezo ikiwemo elimu ya ujasiriamali, mafunzo, ili kupata mbinu za kuwekeza, mitaji pamoja na maeneo kwa lengo la kumsaidia mwanamke kujikwamua kiuchumi. 

 Ameongeza kuwa lengo la siku ya wanawake duniani ni kutukumbusha harakati na mafanikio yaliyokwisha fanyika katika kumkwamua mwanamke dhidi ya unyanyasaji, hali duni, kutelekezwa na kuhakikisha haki yake inapatikana, inaheshimiwa na kuenziwa. 

 Naye Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Mh Paul Makonda alipotoa nasaha zake wakati wa maadhimisho hayo amesema wanawake wa Mkoa wa Dar Es Salaam wanajitahidi Sana katika kuhakikisha wanaendana na kasi iliyopo ya uchumi wa viwanda. 

 Amebainisha kuwa katika Mkoa wake kunajumla ya vicoba 2748 vyenye mtaji wa takribani bilioni 10.78 ambavyo vinaendeshwa na wanawake.

 Aidha amebainisha kuwa katika mkoa wake unajumla ya idadi ya watu milioni 6, na kati ya hao wanawake ni wengi kuliko wanaume, hivyo ni jeshi kubwa ambalo likiwezeshwa linaweza. 

 Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City  yamehudhuriwa na Makatibu tawala wa Wilaya zote tano za Mkoa wa Dar es Salaam, Wakuu wa Wilaya, Watendaji wa Taasisi za Serikali, Viongozi wa CWT, pamoja na wanawake wa Mkoa wa Dar Es Salaam .

 Imetolewa na
 Kitengo chá Uhusiano na Habari
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.