• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

MAFUNZO YA SIKU TATU YATOLEWA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI KINONDONI

Tarehe iliyowekwa: May 29th, 2021

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo shirikishi, Mwenyekiti wa Kamati ya kudhibiti UKIMWI Kinondoni ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa hiyo Mhe.Herri Misinga amesema  mafunzo haya ni kwa lengo la kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati hiyo ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Amesema lengo pia ni kuwaandaa wajumbe kuwa mabalozi wazuri na ndio maana Serikali kupitia mpango wakuthibiti maambukizi ya virusi vya Ukimwi imekuwa ikisisitiza  utoaji wa elimu kwa wananchi.

“ Nimeambiwa mafunzo haya ni ya siku tatu, ninaamini kuwa wawezeshaji ambao wamekuja leo hii, watatoa elimu nzuri ambayo kwetu sisi itatusaidia kwenda kuwaelimisha wananchi ambao tumewawakilisha hapa, nimpongeze Mkurugenzi kwakutuandalia mafunzo haya” amesema Mhe. Misinga.

Awali akimkaribisha Naibu Meya, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bi Sipora Liana amesema kuwa anatambua umuhimu wa Kamati hiyo na kwamba anaamini elimu  ya siku tatu  itakayotolewa kupitia mafunzo hayo itakuwa chachu ya mafanikio katika kuhakikisha maambukizi ya virusi vya Ukimwi yanaendelea kupungua katika Manispaa hiyo hasa ikizingatiwa kwamba kunajumla ya vituo vya kupimia maambukizi ya VVU 240, ambapo kati ya hivyo vya Serikali ni 27 na vya binafsi ni 213.

Kwaupande wake mratibu wa kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Kinondoni Bi.Robby Gwesso amesema mafunzo hayo, yamehusisha warataibu kutoka TACAIDS, Manispaa ya Kinondoni, wataalamu kutoka Taasisi binafsi, Madiwani, wawakilishi kutoka makundi ya Vijana, Wazee, Asasi za kiraia, Viongozi wa dini, Watu wenye ulemavu, Watu wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya ukimwi pamoja na watendaji wa Manispaa ya Kinondoni.

Mada zilizofundishwa ni pamoja na UKIMWI mahala pa Kazi, Sera ya taifa ya kudhibiti UKIMWI, tafsiri ya sheria ya kudhibiti UKIMWI, Sera na miongozo inayosimamia ithibati ya VVU na UKIMWI katika jamii, Muundo wa kamati ya kudhibiti UKIMWI ngazi ya wilaya, kata na mtaa/ vijiji, wajibu na majukumu ya kamati shirikishi za kudhibiti UKIMWI ngazi ya wilaya, kata na mitaa/vijiji.

Nyingine ni ukweli kuhusu UKIMWI, kifua kikuu na homa ya ini, mawasiliano kuhusu UKIMWI, utoaji wa taarifa za VVU na UKIMWI, mpango shirikishi, ufuatiliaji na tathmini pamoja na uongozi na ubia katika mwitikio wa VVU na UKIMWI

Imeandaliwa na

Kitengo cha Habari na Mahusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.