• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KINONDONI YAZINDUA ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU YA UMUHIMU WA KUJIANDIKISHA NA UHUISHAJI WA TAARIFA ZA MPIGA KURA

Tarehe iliyowekwa: May 4th, 2024

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Kitengo cha Uchaguzi, imezindua rasmi zoezi la uhamasishaji na utoaji wa Elimu juu ya umuhimu wa kujihakiki na kuhuisha taarifa za Wananchi katika daftari la kudumu la Wapiga kura . Zoezi hilo limezinduliwa Mei 4, 2024 na timu maalum ya uhamasishaji na utoaji wa elimu ikiongozwa na Afisa Uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bi. Latifa Ramadhan ambapo imewakutanisha makundi mbalimbali ya watu hasa vijana walio na miaka 18 na kuendelea.

Bi. Latifa alisema  kuwa leo wamezindua rasmi zoezi ambalo limejikita katika kuwaelimisha Wananchi kwa makundi mbalimbali juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kuhakiki taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu. "Leo tumezindua zoezi letu na tumefanikiwa kutoa elimu na kuhamasisha makundi mbalimbali hasa vijana ambao wanaonekana kuwa nyuma kidogo kushiriki katika masuala mazima ya uchaguzi, hivyo niwaombe Wananchi kutoka mitaa yote 106 ya Manispaa ya Kinondoni kushiriki ipasavyo katika kuhuisha taarifa zao muhimu katika daftari la kudumu la wapiga kura," alisema Bi. Latifa.

Aidha, Bi Latifa alisema kuwa, kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu, ni jukumu na wajibu wa kila Mwananchi mwenye vigezo vya kuchagua na kuchaguliwa kwenda kuhakiki taarifa zake katika daftari la kudumu la Wapiga kura mara zoezi hilo litakapotangazwa ili kila Mwananchi awe na haki ya kuchagua na kuchaguliwa baada ya kukidhi vigezo vitakiwavyo. Mbali na hayo pia Afisa uchaguzi huyo alisema kuwa moja ya vigezo vya msingi vinavyotakiwa ili mtu aweze kupiga na kupigiwa kura ni kuwa Mtanzania, awe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, awe na akili timamu na pia awe amejiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura ndani ya eneo husika.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.