• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KINONDONI YATEKELEZA KAULI MBIU YA SIKU YA WAZEE DUNIANI TAREHE 01/10/2018, KWA VITENDO

Tarehe iliyowekwa: October 1st, 2018

Manispaa ya kinondoni katika kuadhimisha siku ya wazee duniani yenye kauli mbiu isemyao"Wazee ni hazina ya Taifa, tuenzi juhudi za kutetea haki na ustawi wao", imegawa vitambulisho takribani 900 vya matibabu kwa wazee, pamoja na kutoa huduma za vipimo vya afya  kwa magonjwa yasiyoambukiza kwa wazee wasiopungua 600, zoezi lililofanyika katika viwanja vya Mwinjuma CCM.

Akigawa vitambulisho hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Katibu Tawala ya Wilaya hiyo Bi.Stella Msofe amesema, Serikali inajivunia kuwa na wazee kwani ndiko hazina kubwa ya busara na mafunzo katika kutekeleza majukumu ya Serikali inapatikana.

"Wazee ni hazina kubwa na sisi kama Serikali tunajivunia kuwa nanyi, hivyo jukumu letu kubwa ni kuhakikisha mnatimiziwa haki yenu ya msingi ambayo ni huduma za afya zilizo bora bila usumbufu" Amesema Katibu tawala.

Akitoa taarifa ya huduma  kwa wazee katika Manispaa ya Kinondoni kwenye maadhimisho hayo,  Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo, Dr.Festo Dugange amesema Manispaa ya Kinondoni imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutekeleza Sera ya wazee ya Wizara ya Afya kwa kuboresha huduma za afya kwa wazee,ikiwemo utoaji wa vitambulisho vya matibabu.

Ameongeza kuwa kwa  kutambua umuhimu wa siku ya wazee, na kutekeleza kauli mbiu ya mwaka huu, huduma mbalimbali zimetolewa katika maadhimisho hayo ambazo ni kujiandikisha na kutoa vitambulisho vya wazee, kupima uzito na urefu, kusoma BMI, vipimo vya maabara, kupima malaria na kupima macho.

Huduma nyingine ni kupima tezi dume kwa kutumia damu, ushauri wa VVU, ushauri kuhusu maambukizi ya TB/Ukoma, na ushauri kuhusu lishe.

Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mwinjuma CCM, pia yalienda sambamba na burudani pamoja na michezo ya kufukuza kuku kwa wazee wanawake na wanaume,  kuvuta kamba pamoja na burudani ya miziki ya zamani.

Imeandaliwa na

Kitengo cha habari na Uhusiano.

Manispaa ya kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.