• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KINONDONI YASAINI MAKUBALIANO YA MASHIRIKIANO NA MJI WA LOUD ULIOPO JIMBO LA HUNAN KUTOKA JAMHURI YA WATU WA CHINA.

Tarehe iliyowekwa: March 29th, 2019

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni leo imetiliana saini makubaliano ya mashirikiano na mji wa Loud uliopo Jimbo la Hunan Kutoka Jamhuri ya watu wa China wenye lengo la kukuza soko la kibiashara na kuimarisha mahusiano ya kirafiki ya pande zote mbili.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Dkt Patricia Henjewele amesema kuwa ni heshima kubwa kwa Manispaa ya Kinondoni kupokea ujumbe huo kutoka Jimbo la Hunan ukiongozwa na  Peng Zheng ambae ni mkuu wa sehemu wa ofisi ya mashirikiano ya idara ya Biashara ya Jimbo la Hunan.

Aliuhakikishia ujumbe huo  kuwa Kinondoni inamazingira mazuri ya uwekezaji yenye vivutio mbalimbali Katika maeneo ya Afya, mazingira, Uchumi, Kilimo, Mifugo, uvuvi, makazi , Habari na Mawasiliano yatakayowezesha upanuzi wa mji na maendeleo ya mji.

Ninaamini mahusiano  haya yatakuwa na matokeo makubwa Katika maeneo Muhimu ya uwekaji kama vile shughuli za  kibiashara, masoko, makazi, michezo , utalii, utamaduni, Elimu , Afya , Utalii, utumishi, upangaji na uboreshaji wa  miji pamoja na shemu za kiburudani. Ameongeza Dkt Henjewele.

Kwa upande wake Mstahiki meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Kawe Sitta alitoa shukrani za dhati kwa timu nzima iliyoshiriki kufanikisha mashirikiano hayo ikiwa ni pamoja na  wizara ya fedha na mipango, idara ya uwekezaji Tanzania pamoja na Wizara ya Mambo ya nje kwa kutenga muda wao kuungana na Manispaa kufanikisha majadiliano yalipopelekea kufikia makubaliano ya mahusiano haya.

Mkuu wa wilaya ya  Kinondoni  Mhe Daniel Chongolo akishuhudia utilianaji  saini makubaliano hayo ametoa shukrani zake za dhati kwa Ndugu  Peng Zheng na kuuhakikishia ujumbe toka China kuwa wilaya ya Kinondoni inamazingira tulivu na hali ya hewa safi hivyo wageni waje kuwekeza wilaya ya Kinondoni yenye fursa nyingi za uwekezaji.

Amesema yeye kama kiongozi mkuu wa serikali atawapa ushirikiano wa kutosha ili kufikia malengo ya makubaliano haya ya ushirikiano wa kirafiki.



Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari Mwasiliano na uhusiano

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.