• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

KINONDONI YAAHIDI MAENDELEO ZAIDI KATIKA SEKTA YA AFYA

Tarehe iliyowekwa: May 7th, 2024

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya afya nchini. Hatua hii imekuja baada ya Halmashauri  kutenga fedha za kununua magari mawili ya kubeba wagonjwa kwa ajili ya kusaidia upatikanaji wa huduma za dharura za afya kwa wananchi.

Akizungumzia uamuzi huo, Mei 7 2024 alipokuwa katika Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni katika Ukumbi wa Manispaa, Mkuu wa Wilaya hiyo, Mheshimiwa Saad Mtambule, alielezea kuwa hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuboresha huduma za afya katika ngazi zote.

Alisema, "Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya magari 150 ya kubeba wagonjwa katika vituo mbalimbali vya afya nchini. Mojawapo  ya Vituo vya Afya vilivyonufaika ni Kituo Cha Afya Kigogo." Aliongeza kuwa, "Katika kuunga mkono hatua hiyo, Manispaa yetu imetenga fedha  kununua magari mawili ya kubeba wagonjwa, ambayo yatasaidia kwa kiasi kikubwa kuokoa maisha ya wananchi kwa kuwafikisha haraka katika vituo vya afya pale wanapohitaji matibabu ya dharura."

Aidha, Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Mheshimiwa Songoro Mnyonge, ameahidi ujenzi wa Kituo Cha Afya cha kisasa katika Kata ya Mikocheni ili kuboresha sekta hiyo.

Alisema, "Lazima tufanye kitu ambacho mtu yeyote akija atasema hii ni Kinondoni. Hivyo tunaahidi ujenzi wa Kituo cha Afya cha kisasa katika Kata ya Mikocheni na kitakachokuwa na hadhi ya kubwa kuliko kile kilichopo katika Kata ya Kinondoni."

Kwa ujumla, jitihada za serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuonyesha mafanikio makubwa katika kuboresha sekta ya afya nchini. Katika hilo, Manispaa ya Kinondoni imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya kununua magari ya kubeba wagonjwa na ujenzi wa Kituo Cha Afya katika Kata ya Mikocheni ni ushahidi wa dhamira ya Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma bora za afya.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.