Oktoba 18, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule, ameongoza kikao kati ya Wataalam wa Afya pamoja na Watoa huduma za uchuaji (Massage & Spa).
Kikao hiko kililenga kutoa elimu kuhusu utoaji wa huduma hiyo kulingana na kanuni, utaratibu na sheria za afya, mila na desturi za kitanzania na vibali vinavyo waruhusu kuendeshea Biashara zao.
Aidha wamiliki hao walikumbushwa kujiandikisha kwenye Orodha ili waweze kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 ,2024.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.