• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH.ALLI HAPI ATEMBELEA MIRADI YAMAJI ILIYOGHARIMU TAKRIBANI BILIONI 80

Tarehe iliyowekwa: January 16th, 2018

 NI ILE INAYOTEKELEZWA KWA USHIRIKIANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA INDIA INAYOHUSISHA MATANKI YA MAJI PAMOJA NA BUSTA .

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Alli Hapi amefanya ziara kutembelea miradi ya maji inayotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na India iliyogharimu takribani bilioni 80.

 Ziara hiyo imefanyika leo katika maeneo ya Changanyikeni, Bunju, Salasala Makongo, Goba na Mabwepande ambapo Mkuu huyo wa Wilaya amepata fursa ya kukagua hatua za utekelezaji wa mradi ulikofikia pamoja na kiwango cha ubora ilichonacho miradi hiyo.

 Akiongea mara baada ya ukaguzi Mh Hapi amesema  miradi hiyo Mara itakapokamilika itapunguza tatizo la maji katika Wilaya yake kwa asilimia 95 huku wanufaika wakubwa wakiwa wakazi wa maeneo husika. 

 Amesema Serikali ya awamu ya tano inalo lengo dhahiri la kuhakikisha inawaondolea wananchi wake kadhia ya tatizo sugu la maji na ndio maana kwa kushirikiana na India inatekeleza mpango huo mkubwa wa mradi wa maji kwa Wilaya ya Kinondoni. 

  Aidha amewataka makandarasi wanaoendelea na  ujenzi wa miradi hiyo ya maji kuhakikisha wanakamilisha ujenzi huo kwa ubora na kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na huduma hiyo ya Maji.

 "Nitoe wito kwa makandarasi Hawa kufanya Kazi usiku na mchana ili kuhakikisha miradi hii inakamilika kwa wakati, na sisi Kama Serikali tupo tayari kutoa ulinzi kama  wao wataonesha utayari wa kafanya Kazi usiku na mchana" Amesema Hapi. 

 Naye Kaimu Mkurugenzi wa huduma za ufundi toka DAWASA Bi Modester Mushi amesema miradi hii ya maji inatokana na kukamilika kwa upanuzi wa  mradi mkubwa wa wa maji wa Ruvu chini na kwa Wilaya ya Kinondoni utahudumia zaidi ya wakazi laki Moja na sitini.

 Miradi hii inayoendelea kujengwa inatarajiwa kukamilika mwezi February mwaka huu na kukadiriwa kupunguza tatizo la maji katika Wilaya ya Kinondoni kwa asilimia 95.

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano na Habari
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.