• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Royal Tour Bus
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu

DC GONDWE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe iliyowekwa: October 19th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe leo Jumanne tarehe 19 Oktoba, 2022 amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo ya soko la Msasani, stendi ya mabasi Mwenge na uwanja wa mpira wa miguu wa timu ya KMC FC uliopo Mwenge Kata ya Kijitonyama.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ameridhishwa na hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa miradi hiyo na kuagiza kuondoa changamoto zote zilizopo kwa kushirikisha wadau wote muhimu wa miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati na kuwanuifaisha walengwa wa miradi hiyo.

Katika mradi wa soko la Msasani linalojengwa kwa fedha za Kitanzania shilingi milioni 286 Mhe. Mkuu wa Wilaya amemwagiza Mhandisi wa Manispaa kufanya kikao  cha pamoja na wadau wote wa ujenzi wa soko hilo na watumiaji wake na  kuandaa mchoro wa maeneo yatakayotumiwa na wafanyabiashara za chakula mama lishe ili liweze kutosheleza wafanyabiashara wote 24 waliopo sokoni hapo.

Aidha ametoa maelekezo ya kuhakikisha mradi huo unakamilika ndani ya siku 30 kwa sababu fedha zote za kuwezesha kukamilisha mradi ziko katika akaunti ya Kata ya Msasani.

Akizungumzia miradi ya ujenzi wa stendi ya mabasi na kiwanja cha mpira wa miguu cha  KMC FC kilichopo Mwenge, amewataka Wakandarasi wakamilishe miradi hiyo ndani ya muda uliopangwa ili Halmashauri iweze kuanza kunufaika kwa kukusanya mapato yatakayowezesha kutekeleza miradi mingine ya maendeleo.

Wahandisi  washauri na Wakandarasi wa  miradi hiyo wamemhakikishia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Gondwin Gondwe azma ya kukamilisha miradi hiyo kwa wakati ifikapo Februari 3 mwaka ujao 2023 ambapo ameahidi kuja kujiridhisha baada ya muda huo.

Miradi yote mitatu iliyotembelewa ina thamani ya zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni kumi ambapo wadau wote walimshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassani na Serikali kwa ujumla kwa kutekeleza miradi hiyo muhimu na yenye  manufaa kwa wananchi wote.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini:

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

Matangazo

  • UTOAJI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 01, 2025
  • TANGAZO March 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 05, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA TEHAMA MSAIDIZI ULIOFANYIKA TAREHE 25/03/2024 March 25, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • ZAIDI YA MITI 1200 YAPANDWA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU

    December 09, 2024
  • MAAMBUKIZI UKIMWI YAPUNGUA

    December 01, 2024
  • MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YASHUKA KINONDONI

    November 29, 2024
  • WENYEVITI NA WAJUMBE WAPYA WAPEWA MAELEKEZO YA MAJUKUMU YAO

    November 28, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

IFAHAMU KATA YA MZIMUNI, MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • MAKTABA YA PICHA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • HOTUBA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255222170173

    Simu ya mkononi: +255733241052

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.