Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Albert Chalamila ameviomba vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam kuimarisha zaidi suala la ulinzi kuelekea katika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27, 2024. Mheshimiwa Chalamila amesema hayo Octoba 7, 2024 wakati akiongea na Maafisa wa Jeshi la polisi, Jeshi la Zimamoto, Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Magereza katika Ukumbi wa Bwaro la Polisi, Oysterbay Manispaa ya Kinondoni.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.