Tuesday 3rd, December 2024
@Mbuyuni Shule ya Msingi
Ziara ya Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Suleiman Jafo alipotembelea Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kuzungumnzia maswala ya mchezo wa Kuogelea.Ametoa maagizo yafuatayo kwa uongozi wa Manispaa kama ifuatavyo:-Kutafuta eneo kwa ajili ya kujenga mabwawa ya kisasa ya kuogelea, Kumarisha miundombinu ya Mchezo huu wa kuogelea, pamoja na kuinua vipaji vyawaogeleaji.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mh Suleiman Jafo akiongea na uongozi wa shule ya Msingi Oysterbay kwa lengo la kuainisha eneo la mchezo wa mabwawa ya kuogelea.
Waziri wa habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo Dkt HarrisonMwakyemeb akitoa maelekezo kwa uongoziwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondi. Mh. Benjamini Sitta(Diwani), Mstahki Meya wa Manispaa ya Kinondoni ( Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Ndg Aron Kagurumjuli.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akisemezana jambo na Mkuu wa Wilaya ya KinondoniMh. Alli Hapi.
Matukio Mengine katika picha kuhusiana na shughuli hiyo.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.