Sunday 22nd, December 2024
@Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha
Sikukuu ya wafanyakazi duniani ni kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1886 yaliyotokea katika viwanja vya Haymarket, Chicago, nchini Marekani. Polisi walikuwa wakitawanya mkusanyiko wa wafanyakazi wakati wa mgomo wa kupinga masaa nane ya kazi ambapo mtu asiyejulikana aliwarushia askari bomu. Polisi waliwalirushia risasi wafanyakazi na kuwaua wanne.
Siku ya hii kwa Tanzania hujulikana kama Siku ya Wafanyakazi Duniani yaani Mei Mosi, inasherehekewa kila mwaka tarehe 1 Mei. Sherehe hufanywa kitaifa na huwakutanisha wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali binafsi na umma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka 2024 ambayo yatafanyika kitaifa mkoani Arusha.
KAULI MBIU: "Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha"
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.