Friday 3rd, January 2025
@OYSTERBAY BEACH
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza anawakaribisha wananchi pamoja na wadau wote siku ya Jumamosi Septemba 25, 2021 kuanzia saa 12:00 asubuhi katika viwanja vya Oysterbay Beach, kushiriki pamoja kufanya usafi wa fukwe.
Usomapo tangazo hili tafadhali mtaarifu na mwenzio.
Nyote mnakaribishwa.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.