Thursday 2nd, January 2025
@Uwanja wa Kwaraa-Babati mkoani Manyara
Kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe Duniani kwa mwaka 2022 yamefanyika kitaifa mkoani Manyara leo Ijumaa tarehe 21/10/2022 ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa.
Manispaa ya Kinondoni katika maadhimisho hayo imewakilishwa na Afisa Elimu Maalum Divisheni ya Sekondari Mwalimu Victoria Kazwala.
Maadhimisho hayo yameandaliwa na kuratibiwa na OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara na Chama cha Wasioona Tanzania (TLB).
Kauli mbiu ya mwaka 2022 ni: "WASIOONA WAJUMUISHWE KATIKA AJIRA, MICHEZO, TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO KWA MAENDELEO ENDELEVU NCHINI".
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.