Friday 3rd, January 2025
@Fukwe za Oysterbay
Manispaa ya Kinondoni itakuwa na tamasha la kitalii na kitamaduni tarehe 16 Oktoba, 2021 litakalojulikana kwa jina la Dar Sunset Carnival katika fukwe za Oysterbay katika pwani ya bahari ya Hindi ambapo wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni mbalimbali watapata fursa ya kushiriki katika shughuli tofauti tofauti za kitalii zikiwemo tamasha la utamaduni, maonyesho ya vyakula vya asili kutoka kwa wafanyabiashara, michezo ya ufukweni kama mashindano ya kuendesha boti pamoja na kuogelea, riadha, michezo ya watoto na burudani mbalimbali.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.