Saturday 21st, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa
Baraza jipya la Manispaa ya Kinondoni limeapishwa leo likiwa na jumla ya Madiwani 30 kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kadhalika baraz hilo limeteua Mstahiki Meya wake ambaye ni Songoro Khamis Mnyonge, pamoja na Naibu Meya wake ambaye ni Kheri Misinga.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.