• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

Mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Kigogo

Start Date: 2019-07-01
End Date: 2020-06-30

Wilaya ya Kinondoni inaendelea kutekeleza mkakati wa kuviboresha na kujenga vituo vya kutolea huduma za Afya ili viweze kutoa huduma bora inayoendana na mahitaji halisi ya wananchi. Mkakati wa uboreshaji wa vituo vya kutolea huduma za Afya ni malengo mahsusi ya Mpango Mkakati wanne(iv) wa sekta ya Afya (HSSP-IV) na pia ni moja ya lengo katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 Ibara ya 50(a) (i).Katika utekelezaji wa mpango huu, Wilaya ya Kinondoni ilinunua majengo ya kilichokuwa kituo cha kulelea watoto cha Dogo Dogo Center kilichopo Kata ya Kigogo mwezi Desemba 2017 kwa gharama ya Shilingi Million Mia Nne (Shilingi 400,000,000.00) na kufanya ukarabati wa majengo ya zamani kwa gharama ya shilingi Milioni Hamsini na Nne laki Nne Thelathini na Nne Elfu mia Nane na Tatu (Shilingi 54,434,803) pamoja na ujenzi wa jengo jipya na miundo mbinu yake kwa gharama ya shilingi Millioni mia tano hamsini (Shilingi 550,000,000) kati yake 400,000,000.00 zikiwa zimetolewa na OR TAMISEMI na 150,000,000.00 vyanzo vya ndani vya Manispaa (Own Source).

Kwa mujibu wa makadirio ya gharama za ujenzi ambao unahusisha ukarabati wa majengo ya zamani, ukarabati uzio na ujenzi wa majengo mapya kiasi cha fedha Shilingi Milioni Mia Saba Arobaini Laki Tano Sitini na Mbili Elfu Mia Tano (shilingi 740,562,500). Gharama hizi hazihusishi ununuzi wa vifaa tiba, lift ya kupandia na generator ya umeme wa dharula.Mfumo ambao unatumika katika ujenzi wa jengo hili ni “Force Account”. Mfumo wa “Force Account” ni utekelezaji wa agizo la OR-TAMISEMI katika ukarabati au ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za Afya nchini, ili kupunguza gharama na kuongeza ubora wa majengo yatakayojengwa.Kituo cha Afya Kigogo kinatarajia kutoa huduma kwa wananchi wa Kata ya Kigogo wapatao 70,288pamoja na wananchi wa Kata nyingine za jirani zinazojumuisha huduma za wagonjwa wa kutwa (OPD), wagonjwa wa kulazwa (IPD), huduma za maabara, huduma za macho, Afya ya uzazi na mtoto(Reproductive and Child Health), huduma za upasuaji, huduma za ushauri nasaha na kupima Virusi vya Ukimwi (VCT).Kituo hicho kitakuwa Kituo cha Afya pekee katika Manispaa ya Kinondoni chenye uwezo wa kutoa huduma za kulaza wagonjwa na huduma za upasuaji, hivyo kupunguza rufaa zisizo za lazima kwenda Hospital ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala na kupunguza vifo vya akina mama na mtoto vitokanavyo na uzazi.Kituo cha Afya Kigogo kinatarajiwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi kuanzia tarehe 01 Oktoba baada ya kupata usajili na bajeti ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba toka bajeti ya mwaka 2019/2020.

PICHA YA MRADI WA UJENZI WA JENGO JIPYA KITUO CHA AFYA KIGOGO GHOROFA NNE (WODI YA WATOTO, WODI YA KINA MAMA, WODI YA UPASUAJI NA MAABARA) MRADI WA UJENZI NA UKARABATI WA KITUO CHA AFYA KIGOGO

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki