NAIBU MEYA KINONDONI AWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU
Manispaa ya Kinondoni yaadhimisha kilele cha wiki ya Elimu kwa kufanya Maonesho mbalimbali ya Elimu na kwa kuwapa zawadi wanafunzi waliofanya vizuri mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2016.
Maadhimisho haya yameambatana na kaulimbiu isemayo "Uwajibikaji wa pamoja kwa Elimu Bora "
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz