• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI ENG GÉRSON LWENGE AFURAHISHWA NA MIFUGO YA MBUZI AINA YA SAANEN KATIKA BANDA LA KINONDONI MKOANI MOROGORO.

Posted on: August 5th, 2017


 Waziri wa maji na Umwagiliaji Eng Gerson Lwenge (MB) ameonesha kufurahishwa na   maziwa yanayotokana na Mbuzi aina ya Saanen kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mbalimbali katika mwili wa mwanadamu. 

 Hayo yamedhihirika leo alipozuru  banda la Maonesho  ya Nane nane la Manispaa ya Kinondoni lililoko katika maeneo ya Tungi Mkoani Morogoro. 

 Pale alipotembelea banda la mifugo ya Mbuzi na kukutana na Ndg Athuman Ullotu mfugaji wa mbuzi na kueleza faida zitokanazo na maziwa ya mbuzi hao aina ya Saanen

 Katika maelezo yake Ndg Ullotu amesema maziwa ya mbuzi hao hutibu magonjwa mbalimbali kama vile Sukari, Kiharusi, Mgongo, vidonda vya tumbo, figo, mifupa na pia hupandisha cd 4.

 Eng Gérson pia alitembelea vipando mbalimbali vya mboga za majani, bwawa la Samaki, teknolojia ya Hydrophonic fodder na kupata maelezo mafupi kuhusiana na wasindikaji wa vyakula, na watengeneza mvinyo. 

 Eng Gerson  katika ziara yake ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Steven Kebwe, pamoja na Ali Hapi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.

 Yote haya na mengine mengi utayapata katika banda la Manispaa ya Kinondoni kwenye maonesho ya Nane nane lililoko Mkoani. Morogoro. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki