• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Elimu
    • Afya
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji mifugo na nyuki
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

TAMISEMI YAIPONGEZA KINONDONI KWA UTENDAJI NA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WAKE.

Posted on: May 8th, 2018

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI),Mh Selemani Jafo, amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Ndg Aron Kagurumjuli pamoja na Mkurugenzi wa jiji la Dar es salam, Ndg Sipora Liana kwa utendaji wao wa kazi uliotukuka.

Jafo ametoa pongezi hizo wakati wa uzinduzi na uwekaji sahihi mikataba ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati katika mamlaka za serikali za mitaa.

Amesema viongozi hao ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine wa utumishi wa umma kwa namna ambavyo wanathamini na kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu.

Ameongeza kuwa licha ya Mkurugenzi wa kinondoni kuwa na umri mkubwa, lakini bado amekuwa akichapa kazi kikamilifu kwa kuongoza Manispaa yake na kuhakikisha inapiga hatua katika miradi mbalimbali ya maendeleo.

Amesema asilimia kubwa ya miradi inayotekelezwa katika Manispaa hiyo ni mawazo na ubunifu wa Mkurugenzi huyo.

Jafo ametoa wito kwa wakurugenzi wengine kuiga mfano wa viongozi hao, huku akiwataka kufanya kazi Kwa bidii na uadilifu kama ambavyo kanuni za utumishi wa umma zinavyotaka.

Katika hafla hiyo uongozi wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, waliweka saini  katika mradi was Ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi Luis huku Halmashauri ya Manispaa ya kinondoni ukiweka saini katika mradi wa soko la kisasa Magomeni.

Jafo ameahidi kushughulika na wakurugenzi wazembe katika utekelezaji wa miradi hiyo na kwamba serikali haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wakurugenzi wote watakaobadilisha matumizi ya fedha za miradi hiyo na kupeleka katika shughuli nyingine.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE February 22, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA February 18, 2021
  • TANGAZO KUHUSU WAMILIKI WA KUMBI ZA BURUDANI, SHEREHE NA BAA January 22, 2021
  • HAWA HAPA WADAIWA SUGU WA LESENI ZA BIASHARA MANISPAA YA KINONDONI December 04, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WATENDAJI WA KATA NA MITAA KINONDONI TIMIZENI WAJIBU WENU

    April 08, 2021
  • ZIARA YA KATA KWA KATA WILAYA YA KINONDONI YAANZA LEO

    April 01, 2021
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KINONDONI MHE. SONGORO MNYONGE AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA BARAZA LA MADIWANI

    March 17, 2021
  • UWASILISHWAJI WA TAARIFA ZA KAMATI ZA KUDUMU-BARAZA LA MADIWANI.

    March 17, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DCChongolo akemea vikali wakandarasi wazembe
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki